Vijana

CAs wakanisa la TAG Kibaoni Dar es Salaam wakiingia kanisani tayar ikuadhimisha sikukuu yao hivi karibuni

Idarahiiinawahudumiavijanawakanisa la Tanzania Assemblies of God. Idarahiinimaarufukwajina la “CAs” ambacho ni kifupi cha maneno ya kiingereza“Christ’s Ambassadors” yaani “MabaloziwaKristo”. Lengo kuu ni kuwafundisha vijana na kuwalea ili kuwa wanafunzi wa Kristo na kuwahamasisha kumtumikia Mungu.
[Kitaifaidara hiiinaongozwana Mkurugenzi waidara, akisaidiwa namakamu mkurugenzi. Wengine nikatibuwa idarana mwekahazina. Nafasihizinne pia zipo katika ngaziyajimbo, ngaziya sehemunangazi yakanisa la mahalipamoja.]
 
Swahili