Maadili ya Misingi

Maadili yetu ya misingi Tanzania Assemblies of God

Uaminifu Kibiblia
Uadilifu
Kuwajibika kijamii.
Ushirikiano kama timu
Uvinaji kimkakati
Uwezeshaji wa uongozi
Ukuhani kwa waumini wote
Uwajibikaji wa usimamizi wa fedha
Ukuaji kimkakati
Ubora