Ushirika Wa Wanaume

Wanaume wa kanisa la TAG Mwenge wakiimba katika moja ya sikukuu yao ya kitaifa.

Huuniushirikawawanaumewakanisa la Tanzania Assemblies of God Church, uliopewajina la kiingerezakuwa “Christian Men’s Fellowship”nakwakifupi (CMF)yaani “UshirikawaWanaume”. Kusudikubwa la ushirikahuunikuwaunganishawanaumewotekatikakanisailikumtumikiaMungunakuitegemezkuitegemezakaziyakekatikahudumambalimbalindaniyakanisanakwajamiiinayotuzunguka. Ndaniyakanisaushirikahuunimaarufukwajina la “Taifakubwa”.
[KitaifaidarahiiinaongozwanaMkurugenziwaidara, akisaidiwanamakamumkurugenzi. Wenginenikatibuwaidaranamwekahazina. Nafasihizinne pia zipokatikangaziyajimbo, ngaziyasehemunangaziyakanisa la mahalipamoja.

Swahili