News

Kanisa la Tanzania Assemblies of God, linaungana na Watanzania wote kwa Ujumla Kumpongeza Rais wetu kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa SADC

Sep 06, 2019

Askofu Mkuu wa kanisa la TAG na Halmashauri kuu ya TAG wanapenda kuwa karibisha watu wote kwenye Maadhimisho makubwa ya Miaka 80 ya kanisa na Miaka 10 ya mpango Mkakati yatakayo fanyika Jijini Arusha, Tarehe 21/07/2019

Jun 20, 2019

Wiki hili ni la Idara ya Wanaume, kilele kitakuwa tarehe 05/05/2019, tunawatakia ushiriki mwema kwa Wanaume Wote

May 03, 2019

Wito wa kushiriki Maadhimisho ya Miaka 80 na Miaka 10 ya Mpango Mkakati toka Askofu wetu Mkuu Dr. Barnabas Mtokambali

May 01, 2019

Maneno ya Uponyaji toka kwa Mtu aliye katika Maumivu Makali

(Healing Words from Hurting Man)
Sisi sote tunajua nguvu na Uwezo uliopo kwenye Maneno, Maneno huuisha pia huangamiza

Tunaposherehekea sikukuu ya hii PASAKA tunapaswa kukumbuka Maneno aliyo yasema Yesu pale Msalabani alipokuwa kwenye Maumivu Makali ya misumari toka mikononi, miguuni na kwenye taji la miiba la kichwani, yanayopatikana kwenye Kitabu cha Luka 23:34 “Baba, Uwasameha kwakuwa hawajui watendalo”.

Apr 21, 2019

Logo/Nembo ya maadhimisho ya Miaka 80 ya tangu kuanzishwa kwa kanisa la TAG nchini na kutimizwa kwa mpango mkakati wa miaka 10

Mar 26, 2019

Mfuko wa Pensheni wa Tumaini (TPF) umeanzishwa na kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) baada ya kuufunga ule wa akiba ya wachungaji.

Feb 19, 2019

Wiki la kuanzia tar 25 Feb hadi 03 Machi 2019 ni wiki la maazimisho ya sikukuu ya Wanawake Watumishi wa Kristo Kitaifa, tunapenda kuwatakia Siku kuu njema ambazo zitaazimishwa katika kila kanisa la mahali pamoja

Feb 18, 2019