• Maadhimisho ya miaka 10 ya mavuno    Maadhimisho ya Miaka 10 ya mavuno

Tanzania Assemblies of God

Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
"Mathayo 28:19-20"

Newsletter Subscription

Habari & Matukio

Matukio

12 Apr

Salamu za Pasaka

YESU alipowambwa msalabani, alisema maneno saba ya mwisho yenye uponyaji mkubwa... Soma zaidi
26 Mach

Mwendelezo wa maombi juu ya Corona

Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God anawaomba watu wa Mungu tuzidi kuliombea Taifa... Soma zaidi
08 Mach

Sikukuu ya Wanawake

Wanawake Watumishi wa Kristo (W.W.K) wanaadhimisha siku yao nchi nzima katika makanisa yetu ya T.A.G ...Soma zaidi

Habari Mpya

16 Apr

Maombi ya kuombea Taifa letu la Tanzania

Wapendwa Maaskofu wa Majimbo, Waangalizi, Wachungaji na Washirika wote. Napenda kuwataarifu kuwa, Kamati Kuu ya Utendaji ya TAG imeitikia wito wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ...