Idara ya wanawake

WWK wakiimbakwenyesikukuuyaohivikaribunikwenyekanisa la TAG, Bethel Temple la Kijenge Arusha

Ushirikawawanawakewa Tanzania Assemblies of God, nimaarufukwajina la WWK ambachonikifupi cha “WanawakewatumishiwaKristo”. Kwa mujibuwamwongozowao, lengokuu la ushurikahuunikuwaunganishanakuwahamasishawanawakewakanisa ta TAG iliwawezekumtumikiaMungunakuitegemezakaziyakekatikahudumambalimbalikatikakanisa.Katikakanisaushirikahuunimaarufukwajina la “Jeshikubwa.”

Swahili