Karibu katika ukurasa wetu

Miaka kumi na tatu ya Moto wa uamsho tunamtaka Bwana na nguvu zake

Ijue Radio Zoe
Zoe FM ni miongoni mwa redio za Kikristo zinazomilikiwa na Tanzania Assemblies of God. Ipo mtaa wa Falkland mkoani Morogoro, Zoe FM inatangaza saa 24 kwa siku, siku 7 kwa wiki, kupitia 102.7 MHz; kuwafikia mamia kwa maelfu ya watu wa makundi mbalimbali ya watu, mkoani Morogoro na baadhi ya maeneo ya vitongoji ambavyo ni mikoa ya Dodoma, Iringa, Tanga, Dar es Salaam na Pwani.

logo

Shirikiana Nasi!Radio Zoe FM...Uzima tele kwa wote

Zoe FM imejitolea kuweka mtandao na kushirikiana na mashirika na watu binafsi wenye nia sawa kote ulimwenguni ili kuendeleza kwa ufanisi zaidi madhumuni yaliyowekwa katika taarifa yetu ya dhamira. Hata hivyo, ikiwa biashara yako ingependa kuwa mfuasi na kuwafahamisha wasikilizaji wetu kukuhusu; tafadhali, jisikie huru kuwasiliana nasi kwa urahisi wako wa mapema!.


Sio matangazo! Ni kupanda mbegu! Ni athari kwa Kristo!

style switcher

Kuhusu Sisi

Maono

Kuunganisha Imani ya Kikristo na Makanisa katika jumuiya yetu yote

Dhima

Kua njia ya kuaminika ya mabadiliko chanya katika jumuiya yetu kwa kutoa maudhui yanayobadilisha maisha.

Maadili ya Msingi

Ubora, Uaminifu, Uadilifu,Umoja, Uwajibikaji, Kujitolea na Maombi.




Habari za Hivi Karibuni

Matukio ya Hivi karibuni kwa mwezi huu

Mei

Tanzia

Familia ya makao makuu ya TAG inachukua wakati huu kutoa taarifa ya msiba wa aliyekua Mkurugenzi Kuu wa Idara ya Elimu Kitaifa Rev. Jonas Mkoba uliotokea Tarehe 01 mei 2023.

5 - 11 Jun

Wiki ya Idara ya Watoto na Wanafunzi kitaifa

Idara ya watoto na wanafunzi kitaifa inachukua nafasi hii kuwatangazia waliimu na viongozi wa Idara ya watoto wote wa kanisa la TAG kua wiki la Idara litaanza hivi karibuni. Hivyo basi watoto na wanafunzi wote wanasisitizwa kuhudhuria katika ratiba zote sawa sawa na walivyopangiana katika kanisa la mahali pamoja.

12 - 16 Jun

Mkutano Mkuu wa CA's

Kutakua na Mkutano Mkuu wa Vijana yaani CA's ambao utafanyika CBC Dodoma hivyo Vijana wote mnahimizwa kuhudhuria bila kukosa.