Kuhusu majimbo

Ili kuleta ufanisi katika utekelezaji wa maono, malengo na majukumu mengine ya kanisa kama yalivyoainishwa, TAG itagawanywa kijiografia katika majimbo. Majimbo yatakuwepo ya aina mbili: majimbo kamili na majimbo yanayoendelea.