Askofu Mkuu bungeni.

Baadhi ya Viongozi wa dini wakiendelea kufuatilia shughuli za Bunge jijini Dodoma leo Mei 15, 2024.

MIAKA 85 YA TAG

Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God - TAG. Mch. Dkt. Barnabas Mtokambali anakukaribisha katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 85 ya Kanisa la TAG Kitaifa yatakofanyika Uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam mnamo Tarehe 14/07/2024.

PRESS CONFERENCE

Tutakuwa Mubashara Saa 5 Asubuhi 91.1 MHz kwenye Mkutano wa Askofu Mkuu wa kanisa la Tanzania Assembies of God (TAG) Dr.Barnabas W.Mtokambali na vyombo vya habari akizungumzia Maadhimisho ya miaka 85 ya kanisa la TAG nchini Tanzania.

MAADHIMISHO YA MIAKA 85 YA TAG

Askofu Mkuu wa kanisa la Tanzania Assembies of God (TAG) Dr.Barnabas W.Mtokambali anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu Maadhimisho ya miaka 85 ya kanisa la TAG nchini Tanzania jumatano saa 5:00 asubuhi Fourpont Hotel zamani New African Hotel jijini Dar es Salaam.

HERI YA PASAKA

Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God, Anakutakia Heri ya Pasaka kwa Mwaka 2024.

WIKI YA WWK KITAIFA 2024

Makao makuu ya kanisa la TAG inawatakiwa wanawake wote maadhimisho mema ya wiki la wwk kitaifa.

VODACOM

Jinsi ya kufanya malipo kupitia Vodacom.

GLOBAL EVANGELISTS TRAINING INSTITUTE

Mkuu wa chuo cha GLOBAL EVANGELISTS TRAINING INSTITUTE (GETI). Anakutangazia muhula mpya wa masomo ewe muinjilisti, fomu za kujiunga zinapatikana katika tovuti ya hii. Tembelea: www.tag.or.tz/site/geti

MUSIC MEGA FESTIVAL

Kutakua na Ibada kubwa ya kusifu na kuabudu iliyoandaliwa na Idara ya muziki na uimbaji kitaifa litakalofanyika tarehe 22/07/2023.

AFRICAN CONTINENTAL THEOLOGICAL SEMINARY

Chuo cha ACTS kinakukaribisha katika muhula wa masomo 2023/2024 katika shahada ya uzamili. Fomu zinapatikana katika tovuti yao, tembelea "actseminary.education"

Pongezi Kwa Askofu Mkuu

Pongezi kwa Askofu wetu Mkuu kwa kuchaguliwa kua Mwenyekiti Mpya wa Balaza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT) 2023-2025

SALAMU ZA KRISMAS NA MWAKA MPYA

Pokea Salamu za Krismasi na Mwaka Mpya kutoka kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God. Rev.Dr Barnabas Mtokambali.