DHIMA YETU
  • Tanzania Assemblies of God (TAG) ipo kwa ajili ya kumuabudu Mungu katika Roho na kweli, katika kuuambia ulimwengu juu ya habari za Yesu na kuwapeleka waamini katika kumjua zaidi Yesu kupitia sifa, kuabudu na neno chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu.
MAADILI YETU

Nukuu

Uamsho ni Ajenda yetu.

Rev. Dktr Barnabas MtokambaliASKOFU MKUU

Saa ya Uamsho ni Sasa.

Rev. Joseph MalwaKATIBU MKUU

Habari za Hivi Karibuni

Matukio ya Hivi karibuni kwa mwezi huu

Mei

Tanzia

Familia ya makao makuu ya TAG inachukua wakati huu kutoa taarifa ya msiba wa aliyekua Mkurugenzi Kuu wa Idara ya Elimu Kitaifa Rev. Jonas Mkoba uliotokea Tarehe 01 mei 2023.

5 - 11 Jun

Wiki ya Idara ya Watoto na Wanafunzi kitaifa

Idara ya watoto na wanafunzi kitaifa inachukua nafasi hii kuwatangazia waliimu na viongozi wa Idara ya watoto wote wa kanisa la TAG kua wiki la Idara litaanza hivi karibuni. Hivyo basi watoto na wanafunzi wote wanasisitizwa kuhudhuria katika ratiba zote sawa sawa na walivyopangiana katika kanisa la mahali pamoja.

12 - 16 Jun

Mkutano Mkuu wa CA's

Kutakua na Mkutano Mkuu wa Vijana yaani CA's ambao utafanyika CBC Dodoma hivyo Vijana wote mnahimizwa kuhudhuria bila kukosa.