Rev. Dkt. MAGNUS MHICHE

Makamu Askofu Mkuu wa TAG

Jina Kamili : Magnus Mpendakula Mhiche (DR)
Kuzaliwa : 6 februali, 1954
Alipozaliwa : Kilombero
Jinsia : Mwanaume
Hali ya ndoa : Ameoa
Anwani ya ofisi : S.L.P 8427 DODOMA-TANZANIA
Utaifa : Tanzania
Lugha : Kiingereza na Kiswahili
Kiwango cha elimu : Daktaritembele kurasa

TAARIFA ZA KIELIMU

TAASISI/SHULE/CHUO MWAKA NGAZI ALIYOFIKIA
Kituo cha Theolojia ya Utume na Uinjilisti ASIA-SINGAPORE 1986-1987 Ngazi ya Cheti katika Uongozi na Uchungaji
Taasisi ya Elimu ya Watu wazima 1981-1982 Astashahada ya Kiingereza kama Lugha ya Kigeni
Chuo cha Biblia Mbeya 1977-1979 Stashahada ya Theolojia katika Biblia
Taasisi ya Ukuzaji Mauzo 1974 Astashahada katika Utunzaji wa stoo na akaunti za Stoo