TAMKO KUHUSU USHOGA
Kanisa la TAG limetoa Rasmi Tamko kuhusu Ushoga. Ili kupata nakala ya tamko hili.Bofya Hapa

Askofu Mkuu wa TAG
Jina Kamili | : Barnabas Weston Mtokambali (DR) |
Kuzaliwa | : 12 Aprili, 1962 |
Alipozaliwa | : Rudewa |
Jinsia | : Mwanaume |
Hali ya ndoa | : Ameoa |
Anwani ya ofisi | : S.L.P 1760 DODOMA-TANZANIA |
Utaifa | : Tanzania |
Lugha | : Kiingereza na Kiswahili |
Kiwango cha elimu | : Daktari |
Tarehe aliyookoka | : Juni 1980 |
Alipookokea | : KIGOMA |
Tarehe aliyopokea wito | : 1981 |
Tarehe alioanza huduma | : 1983 |
Kupanda kanisa la kwanza | : 1987 |
TAASISI/SHULE/CHUO | MWAKA | NGAZI ALIYOFIKIA |
---|---|---|
Shule ya Theolojia Afrika Mashariki Nairobi Kenya | 1984-1987 | BA katika Theolojia ya Biblia (BA/B.Th) |
Seminari ya Kimataifa ya Kitheolojia Los-Angels USA | 1992-1994 | Uzamili wa Uungu (M.DIV) |
Seminari ya Kimataifa ya Kitheolojia Los Angels USA | 1999-2000 | Mwalimu wa Theolojia (T.hm) |
Assemblies of God Seminari ya Theolojia Springfield-Missouri | 2001-2003 | Uzamivu wa Huduma (D.Min) |
Amekua Mchungaji kwa zaidi ya miaka 30 (1983-Mpaka sasa).
Amekua Katibu wa sehemu kwa miaka 3 (2007-2009).
Amekua Makamu Askofu wa Jimbo kwa miaka 2 (2001-2002).
Amekua Askofu wa Jimbo kwa miaka 3 (2004-2004).
Amekua Makamu Askofu Mkuu kwa miaka 4 (2004-2008).
Amekua Askofu Mkuu kwa zaidi ya miaka 15 (2008-Mpaka sasa).
Amekua Profesa kamili wa Biblia na Theolojia katika chuo kikuu cha Global University kwa Shahada ya wahitimu na Wahitimu kwa zaidi ya miaka 14 (1999-Mpaka sasa).
Uzoefu wa uongozi wa kanisa kwa zaidi ya miaka 40 (1981-Mpaka sasa).
Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God.
Mjumbe wa Bodi ya Ushirika wa Makanisa ya Kipentekoste Duniani (WPF)
Mjumbe wa Bodi ya Chuo Cha Assemblies of God Seminari ya Theolojia Springfield-Missouri
Mchungaji kiongozi wa kanisa la Bethel Revival Temple.
Mjumbe wa Chama cha Biblia Tanzania.
APTEA (Association of Pentecostal Theological Education in Africa).
Kusimamia Shughuli za uendeshaji wa makanisa ya mahali pamoja zaidi ya 6000 yaliyoenea nchi nzima.
Kusimamia ofisi nzima ya TAG makao makuu na uendeshaji wake.
Kua Mwenyekiti wa mikutano mikuu yote, Mabaraza ya utendaji na waangalizi na kamati tendaji za TAG.
Kanisa la TAG limetoa Rasmi Tamko kuhusu Ushoga. Ili kupata nakala ya tamko hili.Bofya Hapa
Familia ya makao makuu ya TAG inachukua wakati huu kutoa taarifa ya msiba wa aliyekua Mkurugenzi Kuu wa Idara ya Elimu Kitaifa Rev. Jonas Mkoba uliotokea Tarehe 01 mei 2023.
Idara ya watoto na wanafunzi kitaifa inachukua nafasi hii kuwatangazia waliimu na viongozi wa Idara ya watoto wote wa kanisa la TAG kua wiki la Idara litaanza hivi karibuni. Hivyo basi watoto na wanafunzi wote wanasisitizwa kuhudhuria katika ratiba zote sawa sawa na walivyopangiana katika kanisa la mahali pamoja.
Kutakua na Mkutano Mkuu wa Vijana yaani CA's ambao utafanyika CBC Dodoma hivyo Vijana wote mnahimizwa kuhudhuria bila kukosa.