JANUARY

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
1 Ibada /Sikukuu ya Mwaka Mpya Makanisani Washirika wote
2 Kufika Wajumbe wa Halmashauri Kuu Dar Es Salaam Wajumbe wa H/Kuu
3 Kikao cha Halmashauri Kuu Dar Es Salaam Wajumbe wa H/Kuu
3 Kufika Wajumbe wa Baraza la Watendaji Dar Es Salaam Wajumbe wa Baraza
04-07 Vikao vya Baraza la Watendaji 04-07 Wajumbe wa Baraza
6 Uzinduzi wa Maadhimisho wa Miaka 85 ya Uwepo wa TAG Nchini Jimbo la Mashariki Kaskazini Majimbo yote ya Dar na Pwani
08/Jan-Feb4 Maombi Maalum ya Uamsho ya kitaifa ya Siku 28 Makanisani nchi nzima Washirika wote

FEBRUARI

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
...04 Maombi Maalum ya Uamsho ya kitaifa ya Siku 28 Makanisani nchi nzima Washirika wote
26... Wiki ya WWK Makanisani WWK Wote

MACHI

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
1-3 Wiki la WWK Makanisani WWK wote
29 Ijumaa Kuu Makanisani Washirika wote
31 Pasaka Makanisani Washirika wote

APRILI

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
01 Jumatatu ya Pasaka Makanisani Washirika Wote
Maadhimisho Miaka 85 ya TAG Makanisani Makanisani Washirika wote
29... Wiki ya Idara ya Wanaume (CMF) Makanisani Idara ya Wanaume

MEI

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
1-5 Wiki ya Idara ya Wanaume (CMF) Makanisani Idara ya Wanaume
Maadhimisho Miaka 85 ya TAG Sehemu Sehemu Husika Sehemu Zote
13-19 Makongamano ya Uamsho – Wiki ya Pentekoste Makanisani Washirika wote

JUNI

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
10-16 Wiki ya Idara ya Watoto na Wanafunzi Makanisani Idara ya Watoto na Wanafunzi

JULAI

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
8-14 Wiki la Maadhimisho ya Miaka 85 ya TAG Taifa Dar Es Salaam Wa-TAG Wote
29... Wiki ya Uinjilisti Makanisani Idara ya Uinijlisti

AGOSTI

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
...4 Wiki ya Uinjilisti Makanisani Idara ya Uinjilisti

SEPTEMBA

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
9-13 Mafunzo ya Ancient Promise UDSM – Dar Esalaam Kamati zote za Sehemu-Kanda ya Kaskazini Mashariki
16-20 Mafunzo ya Ancient Promise Zanzibar Wachungaji Wote Jimbo la Zanzibar
30 Wiki ya Idara ya Vijana Makanisani Idara ya CAs

OKTOBA

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
...6 Wiki ya Idara ya Vijana Makanisani Idara ya CAs
14-18 Kambi ya Maombi Taifa (National Upper Room Prayer Camp – “NUR-PC”) Kimajimbo Wanamaombi wote kutoka Idara, Majimbo, Sehemu na Makanisani

NOVEMBA

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
2 Mahafali ya Vyuo vya NEBC, GU na SEBCO Dar Es Salaam & Lindi NEBC, GU & SEBCO
5 Mahafali ya Vyuo vya NBC na SBC Mbeya & Arusha NBC & SBC

DESEMBA

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
1 Siku ya Kuwapongeza Wachungaji Makanisani Washirika wote pamoja na Wachungaji
2-6 Makongamano ya Wanafunzi wa Vyuo na Sekondari – CASFETA Kimkoa Wanafunzi na Viongozi wa Vyuo na Sekondari
16-20 Kambi la Watoto wa Wachungaji – PCF Kitaifa CBC Dodoma Watoto wote wa wachungaji
25 Sikukuu ya Krismasi Makanisani Washirika wote
26 Boxing day Washirika wote