News

Wapendwa Maaskofu wa Majimbo, Waangalizi, Wachungaji na Washirika wote

Napenda kuwataarifu kuwa, Kamati Kuu ya Utendaji ya TAG imeitikia wito wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli wa kutenga siku tatu za maombi kuombea taifa dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19).

Apr 16, 2020