Watoto

Watoto wa kanisa la TAG la International Christian Cenrtre Dodoma wakimwimbia Mungu kwenye moja ya ibada.

Idara hii inajulikana kama Huduma ya watoto na wanafunzi. 
 
Hii ni kwa sababu inawahudumia watoto ambao hawajaanza shule bado mpaka wale wenye umri wa miaka 16. Lengo kuu ni kuwalea watoto hawa kwa mujibu wa Mithali 22:6 “Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.”
 
[Kitaifa idara hii inaongozwa na Mkurugenzi wa idara, akisaidiwa na makamu mkurugenzi. Wengine ni katibu wa idara na mweka hazina. Nafasi hizi nne pia zipo katika ngazi ya jimbo, ngazi ya sehemu na ngazi ya kanisa la mahali pamoja.
 
Swahili