Uanafunzi

Idara hii ina wajibu wa kuendeleza mafunzo ya Biblia kwa mwamini mmoja mmoja na jamii ya waaminio kwa pamoja. Inasimamia uandaaji wa mitaala kwa ajili ya mafunzo ya viwango mbalimbali kwa waamini na vitabu vya kiada vinavyohitajika.

Idara hii ipo kwa ajili ya kusaidia kuwajenga waamini wa Tanzania Assemblies of God kwenye msingi wa Neno la Mungu.