Habari

KATIKA kutekeleza Mpango Mkakati wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God, ya Miaka Kumi
B.kuhudumia watoto huleta baraka za Mungu
 
USHUHUDA WA ASKOFU LAZARO 
SEHEMU YA PILI
 
KICHWA: NATOKEWA NA SHETANI NA KUOKOLEWA NA YESU

Tunamshukuru Mungu, kongamano la watoto wa wachungaji limekamilika salama. Watumishi wa Mungu waliweza kuwafundisha mambo mbali mbali. Watoto wote wa wachungaji walibarikiwa sana na mafundisho.

USHUHUDA WA ASKOFU LAZARO 
SEHMU YA KWANZA.
 
KICHWA: BWANA YESU ALINITOKEA

Maadhimisho ya miaka 50(Jubilee) ya cas yanaendelea jijini arusha.

Pichani ni Makamu Askofu Mkuu wa TAG Dk.Magnus Mhiche (katikati), akiwasili kwenye ukumbi wa kongamano hilo mjini Dodoma.  Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Uinjilisti, Rev

Baadhi ya picha iliopigwa katika kongamano kubwa la Vijana lijulikanalo kama Ambassador's Mega Fest 2017

Pages