Habari na Matukio

USHUHUDA WA ASKOFU LAZARO 
SEHEMU YA PILI
 
KICHWA: NATOKEWA NA SHETANI NA KUOKOLEWA NA YESU

Tunamshukuru Mungu, kongamano la watoto wa wachungaji limekamilika salama. Watumishi wa Mungu waliweza kuwafundisha mambo mbali mbali. Watoto wote wa wachungaji walibarikiwa sana na mafundisho.

USHUHUDA WA ASKOFU LAZARO 
SEHMU YA KWANZA.
 
KICHWA: BWANA YESU ALINITOKEA